Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 995
- 1,067
V6 ndo injin kubwa ile G ni 4cylinda
Bora uchukue yenye cylinder sita kutokana na body yake ilivyo
ReHapo hata mimi ni chenga, sijaona tofauti yoyote ya body
Kuna haja ya kuanzisha uzi kuhusu aina za magari mbali mbali Ila nitaanza na hii modal ya AlphardRe
Bin Chuma75 G na V Alphard kwenye engine zinafanana, ni sawa sawa na engine ya rolls royce kwenye boeing na Airbus. Kilichopo ni kwamba assembler wa G na V ni tofauti ila mtengeneza engine ni mmoja na wote wanamtumikia bwana mmoja. V naona muundo wake unahimili mazingira ya kibongo bongo. Chukua V iwe 4 cylinder, inatumia mafuta kidogo sana, ila ukichukua 6 cylinder utajilaumu.Wakuu habari..
Nahitaji mwenye uzoefu wa hizi gari tajwa hapo juu. Naona zina matoleo ya Alphard V na Alphard G.
Nahitaji kujua tofauti yake ni nini na ipi ni bora zaidi ya nyingine.
Labda alimaanisha tofauti ya rangiHapo hata mimi ni chenga, sijaona tofauti yoyote ya body