Bachelor of Engineering aka BENG is practical oriented program it means percent kubwa ya course yako inabase kwenye practical kuliko theory Kwa mtaala wa NACTE 40% ni Theory na 60% ni PRACTICALS na kwa hapa Tanzania unaweza ukaipata katika vyuo vifuatavyo DIT, Mbeya (MUST), ATC(Arusha Tech), St.Joseph But Bachelor of Science in Engineering ini vice versa ya BENG it means unasoma theory kuliko practical 40% PRACTICAL na 60% ni Theory for TZ eg is UDSM.
NB: Kila mmoja ana stand katika nafasi yhake hakuna kizuri zaid ya mwenzake japo soko ya Bongo inamfavour zaid BENG.