Tofauti ya betri za gari kati MF DIN55 na N70 zikoje wadau...?

Tofauti ya betri za gari kati MF DIN55 na N70 zikoje wadau...?

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,235
Reaction score
5,854
Wakuu heshima kwenu.

Well, naomba kufahamu ufanisi wa betri hizi mbili kati ya N70 na MF DIN55 ziko sawa kiufanisi na ubora au ziko tofauti wakuu...?

Ipi ina nguvu kuliko ingine kati ya hizi na pia hata kudumu kwake ipi inadumu kwa muda mref zaidi wakuu...?

Je, hii DIN55 inafaa kwa HILUX Revo wadau...?. Natanguliza shukran zangu kwenu wakuu.

Thanks a lot.
 
Hakuna anayejua hii kitu wadau...?
 
N70 ndo kila kitu mkuu, mm huwa naweza piga mzik 3hrs nikiwa sijawasha gari
 
Back
Top Bottom