Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 625
- 506
Habari za mda huu waungwana?
Naomba mnifahamishe tofauti ya Body spray na pafyum kimatumizi wanaume wa mikowani huwa hatutumii hyo kitu ila nilipohamia Dar nikakuta watu wa Dar wanatumia wwakua ukifika Roma utaishi kama Mroma sasa naomba mnielimishe ili na mimi niishi kama mroma