in education unakuwa na somo moja la kufundishia na masomo ya ualimu mengi zaidi ya with education. lakin with education atakuwa na masomo mawili ya kufundishia na masomo ya ualimu machache.
in education unayo chansi ya kufundisha vyuo vya ualimu japo now days haipo tena kwani wanachukua toka secondary wale wenye uzoefu wa muda mrefu.
zote zipo poa sema with education ndo anauwanja mpana zaidi ktk soko
zote hizo unakuwa mwalimu tofauti ipo hapa; in education(wakufunzi) huwezi kuhama field yani huwezi kufanya masters ya kitu chengine zaidi ya education while with unaweza kufanya maters ya vitu vingine