tofauti ya dalili za tuber culosis(TB) na UKIMWI

Joined
Feb 11, 2013
Posts
9
Reaction score
2
habari wana JF.
ni matumaini yangu wote tu wazima wa afya,ni jambo la kumshukuru mungu,,
naomba kuuliza tofauti iliyopo kati ya dalili za ugonjwa wa kifua kikuu na ugonjwa wa Ukimwi,,,yaani dalili za awali mara tu baada ya mgonjwa kuambulizwa ugonjwa
 
Nenda kapime tu bro anza na TB kama huna malizia hiyo nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…