Academic.
The whole busines is arbitrary.
Marekani huwezi kupata degree ya sheria kama huna "degree ya kwanza.". Tanzania unatoka form six na ku enroll kwenye degree yasheria chuo kikuu.
Speaking of "degree ya kwanza" una maana gani? Baccalaureate? Mtu akiwa na bachelor degrees mbili huyu ana degree ya kwanza au ya pili? Unapotaka kuangalia hizi degrees unataka kuziangalia degrees kama machungwa kuzihesabu tu au unataka kuangalia mafao yake?
Swali lako ni la jumla sana kukupa jibu la maana. Naweza kukwambia degree ya pili ni kubwa kuliko ya kwanza, lakini nitajuaje hilo kabla sijajua unaongelea ya somo gani? Inawezekana degree ya kwanza ikatosha kwa somo la kupanga maua, na degree ya pili ikawa inaharibu na haiongezi chochote zaidi ya ku complicate mambo.
Degree ya pili ya American Civil War History na degree ya kwanza ya Medicine ipi zaidii kwa mgonjwa anayehitaji daktari? Swali lingine linaibuka hapo, zaidi kwa nani? kwa minajili gani?