Mi navoelewa mtu akiwa HIV 2 maana yake Ana maambukizi mapya, yani ameambukizwa virus Mara nyingine maana inasemekana virusi wa HIV nao wako wa aina tofauti tofauti. Mkanda wa jeshi ni dalili kwamba kinga ya mwili wa mtu imeshuka sana, nadhani haijalishi ni maambukizi HIV1 au HIV2. Ndo maana wanashauri watu watumie kinga hata kama wote tayari wameathiriwa na HIV ndo hiyo idea ya kuzuia maambukizi mapya.