Swali liko a bit General but nitajaribu kukujibu;
Hizi ni job titles tu ambazo role description yake inatofautiana from 1 place to another.Lakini kwa ujumla HR Manager ana deal na staff related issues mathalan;Mahusiano Kazini,Compensation & benefits,Performance Management,Discplinary issues,Recruitment, na kadhalika kwa uchache.
Administrative Manager anadeal na contractors Management,Fleet & Transportation Management,Property Management,Procurement & Tendering,Security,ICT,Utilities kwa uchache tu.Lakini depending na sehemu na sehemu unawezakuta Administrative Manager ana-over see Finance,Procurement na HR au ukakuta hakuna hiyo Title so HR akawa anafill hizo role.Ndo maana nilisema hapo mwanzo kuwa set up ya organization inaamua nani afanye nini na ndo maana Admin Managers wako kwenye organisations chache ukilinganisha na HR Managers.Naamini nitakuwa nimekusaida japo kiduchu