mactal Member Joined Nov 14, 2016 Posts 72 Reaction score 103 Feb 6, 2022 #1 Naombeni kujua tofauti ya kuwa mtu wa huruma ama upendo..kwenye uhalisi wa maisha
L LOVINTAH GYM JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 459 Reaction score 653 Feb 7, 2022 #2 Elezea swali vizuri, unataka kujua tabia aza mtu mwenye huruma na upendo au unahitaji kujua tofauti ya hurma na upedo?
Elezea swali vizuri, unataka kujua tabia aza mtu mwenye huruma na upendo au unahitaji kujua tofauti ya hurma na upedo?