Tofauti ya INBOX YA SIMU YA MWANAMKE Na INBOX YA SIMU YA MWANAUME...........???????

hivyo vimizinga mbona vya kishikaji tu.... kasheshe ni pale dada kakutumia ujumbe anaomba umlipie kodi ya nyumba kama vile wewe ndio ulimleta mjini
 
hahahaha nimeipenda hii

Hivi wanawake wananguvu ya aina gani maana mzazi wako anaweza kukuomba 5000 ukamjibu mambo sio mazuri lakini akikuomba demu unatoa fasta, mi naona wamezaliwa na kizizi ndani yao
 
Ha ha ha ha
 
Hahahahaha!jaman nyie watu mie nimestuka ucngizin nikaamua nichungulie mmu nakutana na hii mambo nimecheka sn!pole wanaume lol!in box zenu ni noma!ngoja nilale kwanza dah!nimefurahi vya kutosha!
 
@bishanga, hujaacha bangi tu?
INBOX ya Kongosho:
-kukufungia safari toka dar hadi zanzibar kumbe we dume!(figanigga)
-nakudai buku(mama lishe)
-umezidi kupiga chabo(popobawa)
-wewe ni He au She?(bishanga)
 
afu weye
ungekuwa karibu ningekupa njoge

Uliwahi sana kulala ndo maana umeshtuka mapema!
 
afu weye
ungekuwa karibu ningekupa njoge
SENT folder ya Kongosho:
To (Aspirin):ulisahau mswaki wako na kiroba cha ugoro wodini.
(To figanigga): weekend njoo zanzibar,this time tutafanya kweli
 
Hahahaaaaaaaa kweli kama ulishawahi kuwa mwanamke na mwanaume kipindi fulani umuyajuaje hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…