Tofauti ya INBOX YA SIMU YA MWANAMKE Na INBOX YA SIMU YA MWANAUME...........???????

hapo kwenye red nimeipokea hiyo sms jana
 
tunaendelea:
INBOX ya The Boss:
-eti mkeo kagundua umenipangishia nyumba?(kongosho)
-nifanyie mpango nipate kadi ya ccm(mwanakijiji)
-ile mimba nimeitoa(zubeda)
-ama zako ama zangu,juu ya nini unammendea binti yangu?(dena)
 
INBOX ya TF:
-sawa bana we ntese tu(SL)
-sawa bana we ntese tu (AD)
-sawa bana we ntese tu(husn)
-sawa bana we ntese tu(kabakabana)
-sawa bana we ntese tu (feisbuku)
.........oroza itaendelea...........
 
INBOX ya Hashycool:
-baby jamani kwa nini unanifanyia hivo?(michelle)
-acha kumtesa shost wangu vibaya hivo(Lizzy)
-ndo nin mwenzio ale sumu?(AD)
-siwezi kuishi bila wewe (michelle)
OUTBOX ya HC:
-(to michelle)-kwa nini hushiki mimba,au mayai ulikaangia chips?
-(to michelle)-nasikia The Boss kaonekana nyumbani kwako,ole wake!
 
Hivi wanawake wananguvu ya aina gani maana mzazi wako anaweza kukuomba 5000 ukamjibu mambo sio mazuri lakini akikuomba demu unatoa fasta, mi naona wamezaliwa na kizizi ndani yao
Inabidi ujirekebishe fasta, kwa sababu kwangu mimi, mama yangu ndiye the most precious woman to me on earth. Upo hapo? kwa hiyo mama yangu hawezi kuniomba mshiko halafu asiupate kama ninao.
 

Very funny...! job true true
 
duuuu! like it... ila siyo simu yangu sumsung wave 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…