Tofauti ya Lodge na GuestHouse

Tofauti ya Lodge na GuestHouse

Guest wanaingiaga wale choka mbaya
Lodge wanaingiaga wale wenye adhi kidogo
Guest akuna Mambo ya single au self
Lodge unachagua mwenyewe
Guest kunguni wa kutosha
Lodge usafi wa kutosha
Guest uwa zipo mbali na bar
Lodge uwa zimeambatana na bar
Guest ni cheap
Lodge ni expensive
 
Lodge Ndala zinafanana
Guest Ndala hazifanan
Lodge Muhudum huwa yupo reception muda wot
Guest muhudum huwa amelala au hayupo kabsaa
Lodge unaruhusiwa kuangalia chumba kabla ya kulipa kwanza
Guest Lipa tukakuonyeshe sehem ya kulala
Lodge kila room ina Tv
Guest Tv ipo reception tu au isiwepo kabsaa


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Uzi pekee wenye watazamani wengiii alafu wachangiaji kiduchu.

Hii inaonyesha watu ni wazinzi ndio, ila hawataki kuonekana wazinzi.
 
Back
Top Bottom