pangakali 2
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 239
- 221
Yani kutoa hela kwa ATM ni nafuu sana ukilinganisha na kwenda kwa teller au wakala.natumia NMB chap chap account
ATM wananikata 1500 @ Transaction
sku moja nkiwa bank nkamuuliza mhudumu et kutoa dirishan wanakata kias gan akasema wanakata 4600@ transaction
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa ushauriKufanya miamala kwa simbanking au wakala labda nashauri kwa wale wanaotumia nauli kuanzia 1000 kuifikia ATM la sivyo fanyia tu kwa ATM maana huku kwa simbanking na wakala makato yako juu sana.
Kwa wakala gharama za makato zipo juu kidogo... Mfano Ukitaka kutoa Laki 4 kwa Wakala utakatwa si chini ya sh3000, wakati Atm unakatwa sh900-1000 ili kutoa Shilingi Laki 4
Da ....hizo ndo gharama za kusogezewa huduma karibu
Basi hio ni changamoto nyingine tumeletewa na sio fursaNilitoa laki nane kwa wakala wa fahari huduma CRDB walikata kama 8,000/=
Kutoa hela hiyo ATM haizidi 2,500/=
natumia NMB chap chap account
ATM wananikata 1500 @ Transaction
sku moja nkiwa bank nkamuuliza mhudumu et kutoa dirishan wanakata kias gan akasema wanakata 4600@ transaction
Sent using Jamii Forums mobile app