Tofauti ya mapokezi Korea ya Rais Samia na ya Mfalme wa Falme za Kiarabu (UAE)

Wetu hata angepokelewa na mkuu wa wilaya ni sawa tu!
Hata ule mkutano wa wakorea 4 dhidi kundi la watz ukitazama vzr umefanyika kwenye ukumbi kama wa bar tofauti na hapo kwa mfalme!
 
Kila viongozi wetu wanapodharauliwa huko nje napata faraja. Ili watambue kwamba utukufu wowote wataoupata unatokana na jinsi walivyozifanyia nchi zao, sio wao wenyewe, hawana utukufu wowote!
 
Inategemea unaleta nini mezani.

Muarabu anakwenda amebeba fuko la hela, upande mwingine anamuoffer South Korea mafuta ya Bei rahisi.
 
White race huwa zinaheshimiana maana wote wanaamini ni wajanja, black race inadharaulika kila mahala maana huwa tunaonekana ni wajingawajinga.

Njia pekee ya black race kujenga recognition ni kujisimamia na kuacha kujipendekezapendekeza kuanzia Kwa Mzungu, Mchina, Muarabu, Mhindi nk.
 
Umenda mbali sana hao wanao jiita ma Rais wa nchi hasa Africa kimataifa hawatambuli kwa hadhi ya Rais ndiyo maana kwwny uapisho wa mfalme wa ENGLAND walipandishwa kwenye basi la pamoja
 
Akaenda kupiga picha na yule dada mdharirishaji.
Baadye akaja kutukanwa na huyo dada.
Sijui nani alimshauri kutafuta publicity kupitia yule dada.
Mtu ambae kila siku kiguu na njia unadhani atapokelewa namna gani? Hata yeye angekuwa anatulia nyumbani na kutoka mara moja moja angepokelewa vizuri tu.

Nasikia kuna wakati alienda marekani akapokelewa kama mtu alomtembelea ndugu yake..unnoticed!
 
Tuna
Mungu akamuuliza Musa una nini mkononi mwako?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…