Tofauti ya mbao za buhindi na mbao za Iringa ni ipi?

Tofauti ya mbao za buhindi na mbao za Iringa ni ipi?

Lupe Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2021
Posts
259
Reaction score
910
Kama ilivo kwenye utangulizi, mdau anaomba kufahamu tofauti ya mbao za Buhindi na za Iringa manake wauza mbao ukiwaambia watoe tofauti wanakuwa waswahili tu hawasemi wazi wazi.... msaada kwenu wakuu anayefahamu anisaidie hilo
 
Nina uzoefu na mbao za Iringa, hizo za Buhindi ni zipi mkuu?
 
Kama ilivo kwenye utangulizi, mdau anaomba kufahamu tofauti ya mbao za Buhindi na za Iringa manake wauza mbao ukiwaambia watoe tofauti wanakuwa waswahili tu hawasemi wazi wazi.... msaada kwenu wakuu anayefahamu anisaidie hilo
Mbao za buhindi ni nzuri sana lakini bei yake ni kubwa kuliko za iringa inategemea unaishi wapi
 
buhindi wanasema zimejaaa na miti yake imekomaa.... sina uhakika ila nadhani ni mbao kutoka mashamba ya serikali
 
Back
Top Bottom