Bata batani JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 3,217 Reaction score 3,694 Mar 2, 2012 #1 Jana nilipita sehemu nikakuta kuna ubishani mkubwa sana hivi tofauti ya mfanya biashara na mjasiliamali ni ipi
Jana nilipita sehemu nikakuta kuna ubishani mkubwa sana hivi tofauti ya mfanya biashara na mjasiliamali ni ipi
mgodi JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,780 Reaction score 1,847 Mar 2, 2012 #2 Tofauti itakuwepo, ngoja tuwasubiri wanaofahamu watujuze. maana watu kama bakharesa au reginard mengi huwezi kuwaita wajasiliamali!
Tofauti itakuwepo, ngoja tuwasubiri wanaofahamu watujuze. maana watu kama bakharesa au reginard mengi huwezi kuwaita wajasiliamali!