mabo vp, honestly topic yako imeni-impress, on ma side me ninavyoona umri haumati. wen we com to the matter of leal love. kwan inapotokea unafall in love wit a gal or a man humfuata na kumuuliza hw old he or she is? no, instead u jus find urself lovin the person without considering the case of age. wenzetu wanasema 'age is nothing but a number' so kwa kifupi me naona umri c o k2, kinachotakiwa ni mapenz na kuheshimiana hapo mtaenda sawa bila shida yoyote ile, kwenye case ya kua the same age with a man or a woman eti cjui m2 atazeeka i don believe on that. on ma side nipo same age na ma bf ila namweshimu kuliko ata ningedate na a guy with 40years, me naona mapenz yakiwepo other stuffs vinaflow automatically
Wanajamii nawasalimu kwa jina la Mungu aliye hai....mimi kunakitu hua kinanisumbua eti kwa kawaida mnatakiwa kutofautiana kivipi katika umri kati ya mke na mme maana utakuta wengine wanasema oooh kaoa mtoto wengine hoo kaoa mzee naajabu utasikia oooo wanalingana umri mwanamke atamzeekea ...naomba mchango wenu maana na mm ndo naelekea kwenye maandalizi ya ndoa
Asanteni kwa mchango wenu nimepata mwanga..........japo nilichokiona mpaka sasa ni bora mlingane au mmtofautiane kidogo maana mkizidiana sana ni kero,kwa mfano mwanaume wa miaka 45 amuoe msichana wa 20yrs naamini kwanza interest ya mzee na kijana ni tofauti hivyo hapa hamuoni kutakua na tabu kidogo ndugu zanguni?...hapo ebu tufafanuliane vizuri kwa wanao unga hoja
Aisee we ni great thinker,thumb up!umeshauri vizuri sana,, halafu suala la kuzeeka ilikuwa zamani ambapo kama mwanamke mnalingana umri na mmeo basi anaanza kuzeeka mwanamke kwa sababu zifuatazo;1. unamzalisha pasipo mpangilio huku akikosa vyakula stahiki2. anafanyakazi ngumu kama kulima, kutafuta kuni, kuchota maji umbali mrefu nk.lakini kwa sasa, mambo yamebadilika sana ndio maana unaweza kumuona mwanamke wa miaka 37 mwenye mtoto wa miaka hata kumi lakini unaweza kusema hajazaa hata mtoto mmoja.. so tubadilike jamani, mkipendana fanyeni familia ingawa kama mwanamke amekupita sana umri lets say 10 years hapo sishauri maana hata kwa muonekano wakati huo ataonekana mkubwa kwako! ila mkilingana umri ruksaaaaa
lakini ile nahii inazeeka!Ng'ombe hazeeki maini bana!