Tofauti ya mishahara ya walimu Tanzania na Kenya

ECD ndio nursery. P1 ni mwalimu wa primary lakini sai hawaitwi P1 tena, iyo job group ilibadilishwa
 

This is a layman way of comparing things. Now tell me which factors are you holding constant. Remember, you are comparing the salaries of two economies with different inflation, ppp, interest rate, population, unemployment, etc. Are you comparing ability of cash to buy articles or its volume. Also consider the issue of real vs norminal value of money.
 
Mmmmhhh

Kwa uwezo wako na uelewa wako ulipoishia,

Kuna Wafanyakazi wapo idara ya Elimu wa nakula nyingi tu,

Take home 2300000 TSh daraja..... H.. Grade.....
 

Hata mimi sijaona professionalism uliyo demostrate hapa JF. Wewe ni mipasho tu. NB: Uttering some words in queen's language is not professionalism.

#MaparachichiYetuSgrYetu
 
Umezungumza kaka. Kama unga huko Kenya ni $0.5-0.6 na Tanzania ni $0.3-0.4 ,hii inaeleza mishahara minono wanayoipokea wakenya. Sidhani kama kuna mtu anaishi chini ya dola moja Kenya
 
Kenya inaongoza Afrika kuwa na gap kubwa kati ya masikini na matajiri "the most ruthless economy in the continent", the so called man eat man society. 49% ya Kenya revenue inatumika kulipa mishahara kwa wafanyakazi ambao ni 2% ya population.

Tanzania inaongoza Africa katika economic inclusiveness, 30% ya revenue inatumika ktk mishahara, gap kati ya matajiri na the smallest in Africa.

Sasa kama pesa yenu yote mbagawana kama salaries, then mnakopa kila miradi, then bila aibu mnajisifia kugawana mishahara mikubwa na kujilinganisha na nchi ambayo deni lake ni dogo, na inafanya miradi yake kwa pesa yake ya ndani, kweli amuoni aibu?
 
kilo moja ya sembe TZ 1000 Tsh

kilo moja ya sembe KE 250 Ksh = 4900Tsh


Lita moja ya Maziwa TZ 2000Tsh

Lita moja ya Maziwa KE 300 Ksh = 6000Tsh


ulipaswa kuyajua hayo juu kabla ya kufananisha mishahara


unaweza ukalipwa 400000 na kilo ya unga ukanunua sh 1000

na mwingine akalipwa 1000000 na kilo ya unga akauziwa 4000

kimatumizi wote mpo sawa tuuu hakuna tajiri hapo [emoji23]
 
Umezungumza kaka. Kama unga huko Kenya ni $0.5-0.6 na Tanzania ni $0.3-0.4 ,hii inaeleza mishahara minono wanayoipokea wakenya. Sidhani kama kuna mtu anaishi chini ya dola moja Kenya

Dada njoo tena, sijakupata.
 
Bila shaka ulienda shuleni kuduwaa ukiangalia majengo na kuiba chakula cha wanafunzi wengine.
 
Kwa hiyo ukiona baba wa jirani kanunua gari VX ya kupelekea watoto shule na wewe unamlazimisha babako, si bora uamie huko
 
Hiki unachoringia hapa ni sawa na .... angalia chini hapo


 
Hata msomi anaweza kosea ndo maana ameach mwanya,kama mtu ana data tofauti alete
 
acheni utani hawa hawa wakenya wangekuwa wanalipwa hiyo mishahara wasingehangaika kufurika Tz kila kukicha kutafuta ajira ...ninao jamaa zangu wakenya wanalipwa laki mbili na nusu tu na hawataki kurudi kwao kila uchao wanakimbizana na migration
 
Good post,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…