LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
- Thread starter
-
- #41
Lita moja ya maziwa ni around 100ksh, 2000 tshkilo moja ya sembe TZ 1000 Tsh
kilo moja ya sembe KE 250 Ksh = 4900Tsh
Lita moja ya Maziwa TZ 2000Tsh
Lita moja ya Maziwa KE 300 Ksh = 6000Tsh
ulipaswa kuyajua hayo juu kabla ya kufananisha mishahara
unaweza ukalipwa 400000 na kilo ya unga ukanunua sh 1000
na mwingine akalipwa 1000000 na kilo ya unga akauziwa 4000
kimatumizi wote mpo sawa tuuu hakuna tajiri hapo [emoji23]
Bei ya unga imepanda from ksh 50 to 60 na some places mpaka 75. But itarudi chini tu75 a kilo ?😲Maeneo gani hayo? Ndio maana ufisadi hautawahi isha huko Kenya.
Wacha serikali ijisort sekta ya reli. Mwananchi anafaa kulipwa vizuri pia yeye aweze kuenjoy maishaMishahara minono kukarabati reli hadi mkopeshwe...priority zenu ni tumbo
acheni utani hawa hawa wakenya wangekuwa wanalipwa hiyo mishahara wasingehangaika kufurika Tz kila kukicha kutafuta ajira ...ninao jamaa zangu wakenya wanalipwa laki mbili na nusu tu na hawataki kurudi kwao kila uchao wanakimbizana na migration
we ni mpuuzi unadhani ninachoongea ni uongo ?!!! usitake kukataa ndg zako kwa sifa za kipuuzi asee !!!Mkenya aje kulipwa madafu yenu laki mbili na nusu, hela ambayo tunalipa akina dada wa kutufulia nguo ambao wengi wametokea Tanzania.
Hao wafukuzeni sio Wakenya.
Mk acheni kujisifia bhana.....
Wakenya hawa ambao tunafanya nao kazi au wapi unawazungumzia?
Ukiniuliza elimu gani inatia huruma kati ya mkenya na ya mtanzania nitashindwa kukujibu...nimefanya kazi na wakenya na watanzania kwa ujumla.
Humo humo kuna wakenya wabovu na watanzania wabovu.
Kikubwa ambacho ungetuchekea ni lugha...ila lugha sio nyenzo ya kupima fikra/akili/uelewa wa mtu.
Lazima mjue kubalance,lakini wazo lako ni zuriWacha serikali ijisort sekta ya reli. Mwananchi anafaa kulipwa vizuri pia yeye aweze kuenjoy maisha
Afadhali umebadili mada kwenye uduni wa wahitimu wa Tanzania hadi kwenye kujituma kwa wakenya.Kaka, Kenya tungekua vilaza kwa nchi yetu ilivyo ndogo na kame aisei tungekua kwenye uchumi sawa na Rwanda. Halafu huwa tunajivunia nguvu kazi yetu iliyoelimika na ya kujituma, hatuna madini, ardhi yenyewe ndogo na kame, lakini tunaongoza ukanda wote huu kiuchumi, takwimu za hivi majuzi zinaonyesha pengo bana yetu na majirani limeongezeka pakubwa, Tanzania (ambayo tayari ni muungano wa nchi mbili) halafu uunganishe na Uganda ndio ukaribie uchumi wetu.
Siri yetu ni kujituma, hamna kingine, Mkenya popote alipo huwa anaweka utani pembeni likija suala la kujituma na ndio maana serikali yenu huzuia sana kuwapa Wakenya vibali maana wakija wataishia kuwafunika nyie, wamiliki wa makampuni ya Tanzania hujaribu sana kuwaajiri Wakenya lakini inashindikana kwenye vibali, wizara ya ajira na taasisi ya uhamiaji huwa wanakatalia mbali kabisa kwa vigezo kwamba kuna Watanzania wenye uwezo wa nafasi anayokuja kuajiriwa Mkenya, unakuta waajiri kwenu huko wanahangaika na mafaili kule uhamiaji wakijaribu kubembeleza.
Pengo linapanuka, hamna uwezo ku fund hata mradi wa 40bln mpaka mkope,tumia akili bana.Kaka, Kenya tungekua vilaza kwa nchi yetu ilivyo ndogo na kame aisei tungekua kwenye uchumi sawa na Rwanda. Halafu huwa tunajivunia nguvu kazi yetu iliyoelimika na ya kujituma, hatuna madini, ardhi yenyewe ndogo na kame, lakini tunaongoza ukanda wote huu kiuchumi, takwimu za hivi majuzi zinaonyesha pengo bana yetu na majirani limeongezeka pakubwa, Tanzania (ambayo tayari ni muungano wa nchi mbili) halafu uunganishe na Uganda ndio ukaribie uchumi wetu.
Siri yetu ni kujituma, hamna kingine, Mkenya popote alipo huwa anaweka utani pembeni likija suala la kujituma na ndio maana serikali yenu huzuia sana kuwapa Wakenya vibali maana wakija wataishia kuwafunika nyie, wamiliki wa makampuni ya Tanzania hujaribu sana kuwaajiri Wakenya lakini inashindikana kwenye vibali, wizara ya ajira na taasisi ya uhamiaji huwa wanakatalia mbali kabisa kwa vigezo kwamba kuna Watanzania wenye uwezo wa nafasi anayokuja kuajiriwa Mkenya, unakuta waajiri kwenu huko wanahangaika na mafaili kule uhamiaji wakijaribu kubembeleza.
In my opinion, ulilipa civil servants vizuri itaaffect economy positively. Ataweza kupromote mama mboga, hotel ndogo ndogo, salon, vinyozi, house maid etc na even the poorest of the poor watapata hizi pesa indirectly.Lazima mjue kubalance,lakini wazo lako ni zuri
TANZANIA
B1=Basic tsh 419000(ksh 18429)
Cwt=8390.Pension=20950.Income=46090.Insur 12570
Take home tsh331000(ksh 14559)
C1=tsh530000(ksh 23312)
Cwt 10600.Pension 26500.Income 58300.Insurance 15900
Take home=tsh 418700(ksh18416)
D1=tsh 716000(ksh 31493)
Cwt 14320.Pension 35800.Income 78760.Insurance 21400
Take home= tsh 565640(ksh 24880)
E1=tsh 940000(ksh 41346)
Cwt 18800.Pension 47000.Income 103400.Insurance 28200
Take home 742600(ksh32663)
F1=tsh1235000(ksh54322)
Cwt 24700.Pension 61750.Income 135850.Insurance 37050
Take home tsh975650(ksh 42914)
KENYA
ivil Service Job Group Teachers
DesignationBasic Salary Common Allowances Gross Salary Max Min House Commuter Min Max G P1 16,692 21,304 5,000 4,000 ksh25,692
tsh584,281ksh30,304
tsh689,167H ATS IV 19,323 24,662 5,000 4,000 28,323 ksh33,662
tsh765,533J GAT III 24,662 29,918 6,000 4,000 34,662 ksh39,918
tsh907,806K GAT II 31,020 41,590 10,000 5,000 46,020 ksh56,590
tsh1,286,957L GAT I 35,910 45,880 20,000 6,000 61,910 ksh71,880
tsh 1,634,679M Senior GAT 41,590 55,840 20,000 8,000 69,590 ksh83,840
tsh1,906,671N Principal GAT II 48,190 65,290 24,000 8,000 80,190 ksh97,290
tsh2,212,548P Principal GAT I 77,527 103,894 40,000 12,000 129,527 ksh155,894
tsh3,545,307Q Senior Principal 89,748 120,270 40,000 14,000 143,748 ksh174,270
tsh3,963,210R Chief Principal 109,089 144,928 40,000 16,000 165,089 ksh200,928
tsh4,569,461
P1 ni mwalimu wa nursery(shule ya chekechea if I am not wrong)
Principal GAT II ni Head of Depertment ama HOD, si headmaster but correct me if I am wrong
In Tanzanian Shillings the highest paid Kenyan teacher ni 4.5 million na highest paid tanzanian teacher ni 1.2 million
Ntafanyacomparison ya other government jobs ntapost hapa
kama nimekosea mahali feel free kunikosoa
Sawa ntafanya research nipostTuletee other government jobs, Nice post. Gharama za maisha tz na ke ni almost the same at least kwa Nai na Dar ipo hivyo hasa kwa middle class. Bado sijajua though watu gani wana unafuu wa maisha, Maana Kenya pia wana challenge kubwa ya ardhi kujenga nyumba ni ndoto ambayo wakenya wengi hushindwa timiza tofauti na tz.
Afadhali umebadili mada kwenye uduni wa wahitimu wa Tanzania hadi kwenye kujituma kwa wakenya.
Kwenye kujituma siongei neno.
Lakukuambia tu Kenya sio Kame ni moja ya nchi zenye aridhi nzuri saana..Ukame angeulaĺamikia Namibia na jirani zake sawa...
Maisha ya Tanzania na Kenya sijawahi kuona kama yanatofauti...Labda naona hazina tofauti kwasababu sijawahi kuona unafuu wa maisha ya binadamu wa kawaida baina ya nchi hizi mbili.
EAC.So what
Kujituma ni muhimu sana arif,Wala sijabadili mada, mwisho wa siku elimu ni kujituma, ukiwa wa kujituma utakua bora kwenye idara zote, kaangalie kitaalam utaona Kenya inaizidi Tanzania kwa Global Human Capital Index kwenye country ranking ambayo hupima nguvu kazi ya raia kwenye
- Capacity
- Deployment
- Development
- Know-how
Fuata kwenye hii tovuti ya Benki Kuu https://www.worldbank.org/en/data/interactive/2018/10/18/human-capital-index-and-components-2018
Wakenya wanafurika tz kutafuta ajira na biashara. Watanzania wanafurika Kenya kuomba omba..."maskini saidia" huku wamenyoosha vibakuli.
Kilo mbili ni 120.Kilo moja ya sembe Kenya ni ksh.75 hiyo ya 250 ameitoa up his isht spewing orifice.
Nchi zote poor food is cheap,kilo moja ya sembe TZ 1000 Tsh
kilo moja ya sembe KE 250 Ksh = 4900Tsh
Lita moja ya Maziwa TZ 2000Tsh
Lita moja ya Maziwa KE 300 Ksh = 6000Tsh
ulipaswa kuyajua hayo juu kabla ya kufananisha mishahara
unaweza ukalipwa 400000 na kilo ya unga ukanunua sh 1000
na mwingine akalipwa 1000000 na kilo ya unga akauziwa 4000
kimatumizi wote mpo sawa tuuu hakuna tajiri hapo [emoji23]
Beautiful comment. Kenya hata usomee juu ya mparachichi utakaa miaka na mikaka bila kupata kazi. Inaonekana huko kwenu mnapata kazi punde tu mnapohitimu chuo.Kujituma ni muhimu sana arif,
Nilikua nasoma hadi usiku mnene shule wanakusema unasomea kijiji ,nikatoboa
Baada ya kumaliza chuo serikali ikaniajiri sahivi nafurahia maisha na kazi kila nachopanga kinakua japo kuna muda kinachelewa...
Bidii ndio kila kitu,Mimi siwez kuimba, siwezi kazi ngumu nashindwaje kukaza shule?hii Ni kwa yoyote Yule anaejielewa
Lazima ujue unaweza wapi ukomae napo hadi kieleweke...
Wengi hubaki masikini kwa kujiendekeza na ujinga,uvivu na kupoteza muda kwenye mambo yasio na tija,Hakuna faida yoyote ya kua mkenya Au mtz usiezalisha chochote!!watu wabadilike