chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Siku moja nilikaribishwa na rafiki yangu mzungu kwake,nilipofika kwake nikakuta wageni wengi waliokuja kujumuika kwake. Mambo yakaanzia hapa baada ya kujitambulisha kuwa na fanyabiashara na wazazi wangu wakulima kwa kizungu Farmer walishtuka sana na kuanza kuniogopa !.
Baada ya mda nikajiuliza kwa nini wameniogop wakati mimi ndio nilitakiwa kuwaogopa si unajua watu weusi tunavo waogopa ngozi nyeupe.
Unaposema neno farmer kwa wenzatu wanatambua wewe ni mkulima mkubwa sana ambaye unaweza kulisha nchi mpaka nchi zengine.kwa sababu farmer kwa kiswahili ni mkulima unatakiwa kusema peasant,sijajua kwa kiswahili tunasemaje.
Peasant ni sisi ambao tunalima kwa jembe na kila siku tukitumiwa na wanasiasa kama mitaji yao.
Wakulima wa nchi za magharibi ni watu ambao wanaogopwa na serikali sio huku kwetu kwa kudaganywa na kupunguziwa mbolewa na masoko.
Wakulima wa nchi za magharibi ndio wamiliki wakubwa wa ardhi tokea enzi na enzi na wanakopesheka bila kikomo ndio maana unaona wanamaghala makubwa,mashine,wafanyakazi,vifaa vya kisasa na nyumba zuri pamoja na utajiri mkubwa.
serikali kuna haja la kuangalia ili tusije kujikuta kama kenya miaka ya vizazi vijazo