Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
HhahaKwa akili yako tikiti na ugali ni vitu sawa???
Hebu tuachie uzuzu wako wa shimoni kkoo
Mmezoea kubeba mizigo,hatushangai kuubeba mzigo huo wa kiba
hahahahha amefanya uchocheziUnataka kuniharibia soko la tikiti mkuu!!!
hahahahha amefanya uchochezi
.......yes hii ndo Tanzania ya viwanda,hii comment yako kaa mwenyewe ipitie kila mara utaona ulivyopwianga me wala sina haja ya kujibu haswa hapo kwenye matikiti na ugali bt nkwambie tu kuhusu kiba kuwakilisha nchi kashawakilisha sana na tuzo kabeba na diamond wako yupo nakusaidia kujibu hilo tu na nseme hata nikiambiwa kiba na diamond nimchague nani akawakilishe nchi ntamchagua KIBA coz kwanza anaweza then pili ataipeleka REAL BONGOFLEVA na siyo NAIJA FLEVA inayofanywa na diamond platnamz..uuupohapo??Mondi ana akili za Music na kweli anakula tikiti maana kazi ya tikiti mwilini ni zaidi ya sembe lako hilo.tikiti ni chakula kinachohitajika na ugali ni chakula kinachopatikana, wala ugali asubuhi huwa wana akili ndogo na hutumia nguvu kubwa badala ya akili kubwa kama wafanyavyo wala matikiti, Kiba hamfikii kwa lolote Mondi jipeni Moyo tu, Hivi upewe nafasi upendekeze jina la msanii mmoja Mtz aiwakilishe nchi ndo umchague Kiba, si utakuwa na matatizo ya akili.
.....nliiona comment yako kitamboo nkasema niiache ntajibu baadae ili upunguze presha kwanza, kwanza nkuombe usifananishe ROCKSTAR 4000 na huo upuuzi wa madale hilo ni ombi sawa?,then unaposema kiba anatembelea nyota ya mwenzake ilhali alianza kuwika since huyo jamaa wenu anauza siso Tandale huko sijui wakati huo alikuwa anatembelea nyota ya babako!...kusema anatembelea nchi nyingi ambazo kiba hajatembelea nikwambie fuatilia mahojiano ya diamond alisema wazi kuna wakati alikuwa akitaka kusafiri anamcheki kiba ampe moja,mbili tatu ya taratibu za kusafiri nje ya nchi na mambo mengine kadha wa kadha coz by the way kipind diamond hajatoka au ndo anatoka kiba alikuwa anaitwa ALI ULAYA sasa tafuta siri ya hilo jina, mapokezi kitu cha kawaida bos fuatilia ziara za king kiba sehemu mbalimbali utaona anavyopokelewa sawa mzee?>,ukisema ali kiba anapiga show bar nahisi utakuwa umeamua tu kujitekenya mwenyewe na sidhan kama kuna haja ya kulijibia hilo boss wangu,kuhusu mali na utajiri wa kiba me na ww hatuna la kuzungumza coz jamaa hajawahi kuweka mali zake hadharani bt itoshe tu kujua jamaa ana mkwanja he is one of East african artist with a lot of money bro diamond nyumba yake inayojulikana ni ya madale tu hizo nyingine hadithi zisizoeleweka kaka coz mlishindwa ku prove hizo nyingine ila nkupe funzo tu MWENYE NACHO HAJIGAMBI SIKU MTAKUJA KUFUNGA MIDOMO HUENDA SIYO KWA KING HATA KWA MSANII MWINGINE KAMA AY NA WENGINE PALE MTAPOJUA KUNA WATU WANA MIKWANJA ZAIDI AFU HAWANA KELELE KAMA ZENU ahsante karibu tena.hayo matikiti maji ndo yamemfanya mpaka leo hii ana lebo kubwa Tanzania (WCB), ana mijengo ya kutosha, account iliyoshiba, udhamini wa matangazo ya makapuni makubwa na biashara zake bila kusahau show za nchi zingine za africa ambazo huyo kiba hata hajawahi kukanyaga (nazani unayakumbuka yale mapokezi ya diamond alipoenda mozambiq, right?) na show za kila mwezi. (by the way huyu king wenu KIBA vepee hivi haya makampuni huwa hayamuoni au hayamtambui) Tukija kwa huyo mla ugali, anatembelea nyota ya mwenzie, na yeye kajitutumua kununua hisa za kampuni inayomsimamia ili tu na yeye aonekana mkurugenzi, kichekesho mwenzie ni CEO, aunde chake from scratch kama mwenzio tuuone huo u king wake, sijui analipwa sh. ngapi za show zake zile za mombasa na zile za bar anapoenda nchi za nje mana nyumba anayoisha hapo tabata looh salala, kwa mtazamo wangu ni heri kula matikiti ubaki na njaa yako ikupe akili kuliko kulindika miugali mpaka unavimbiwa unabaki kutoa hewa tu. bye
am not sure if there is a space between those two words...but that is not our concern lets go back to the topic.Oh so sorry mr if i say water melon how does it sound??
kitu kipo real/open, KIBA anatoa ngoma ngapi kwa mwaka? na zina kick mwaka mzima bt our neighbour there kwa mwaka hata sita asa bro which kind of music is that?...simply ni muziki mwepesi na anajua mwenyewe mkuu hilo halina haja ya kulipotezea muda mbona.Endeleeni kumpa Ali sifa zisizo zake...
shauri ni kuchukia eeeeh............nlikuwa sijajua me nataka diamond yule wa zamani arud mkuu siyo unavyofikiria...diamond wa LALA SALAMA yule kaka dontyu mis that kind of guy?Huwezi kupata pesa kwa kumchukia mwenye pesa...
huenda anapesa kwako bro.Huwezi kupata pesa kwa kumchukia mwenye pesa...
Excuse me mr i was been answering someone theream not sure if there is a space between those two words...but that is not our concern lets go back to the topic.
.....nliiona comment yako kitamboo nkasema niiache ntajibu baadae ili upunguze presha kwanza, kwanza nkuombe usifananishe ROCKSTAR 4000 na huo upuuzi wa madale hilo ni ombi sawa?,then unaposema kiba anatembelea nyota ya mwenzake ilhali alianza kuwika since huyo jamaa wenu anauza siso Tandale huko sijui wakati huo alikuwa anatembelea nyota ya babako!...kusema anatembelea nchi nyingi ambazo kiba hajatembelea nikwambie fuatilia mahojiano ya diamond alisema wazi kuna wakati alikuwa akitaka kusafiri anamcheki kiba ampe moja,mbili tatu ya taratibu za kusafiri nje ya nchi na mambo mengine kadha wa kadha coz by the way kipind diamond hajatoka au ndo anatoka kiba alikuwa anaitwa ALI ULAYA sasa tafuta siri ya hilo jina, mapokezi kitu cha kawaida bos fuatilia ziara za king kiba sehemu mbalimbali utaona anavyopokelewa sawa mzee?>,ukisema ali kiba anapiga show bar nahisi utakuwa umeamua tu kujitekenya mwenyewe na sidhan kama kuna haja ya kulijibia hilo boss wangu,kuhusu mali na utajiri wa kiba me na ww hatuna la kuzungumza coz jamaa hajawahi kuweka mali zake hadharani bt itoshe tu kujua jamaa ana mkwanja he is one of East african artist with a lot of money bro diamond nyumba yake inayojulikana ni ya madale tu hizo nyingine hadithi zisizoeleweka kaka coz mlishindwa ku prove hizo nyingine ila nkupe funzo tu MWENYE NACHO HAJIGAMBI SIKU MTAKUJA KUFUNGA MIDOMO HUENDA SIYO KWA KING HATA KWA MSANII MWINGINE KAMA AY NA WENGINE PALE MTAPOJUA KUNA WATU WANA MIKWANJA ZAIDI AFU HAWANA KELELE KAMA ZENU ahsante karibu tena.[/QU
Hahaaa eti NAIJA FLEVA wabongo bhna Davido kachukua kachukua mirindimo ya mduara then akatengeneza kitu kizuri mkaanza kumsifia, ila Mondi akichanganya vionjo ooh NAIJA FLEVA. Kiba na video zake za Tsh 1000 hahaaaaaaa. KIBA 100,100=.......yes hii ndo Tanzania ya viwanda,hii comment yako kaa mwenyewe ipitie kila mara utaona ulivyopwianga me wala sina haja ya kujibu haswa hapo kwenye matikiti na ugali bt nkwambie tu kuhusu kiba kuwakilisha nchi kashawakilisha sana na tuzo kabeba na diamond wako yupo nakusaidia kujibu hilo tu na nseme hata nikiambiwa kiba na diamond nimchague nani akawakilishe nchi ntamchagua KIBA coz kwanza anaweza then pili ataipeleka REAL BONGOFLEVA na siyo NAIJA FLEVA inayofanywa na diamond platnamz..uuupohapo??
Analysis yako imejaa maneno mengiiiii lkn pumba tupu....hujajibu hoja za jamaa bali umetuletea maelezo tu yasiyo ni vichwa wala miguu.....soma upya hoja za mshikaji zen uzijibu kwa fact......nliiona comment yako kitamboo nkasema niiache ntajibu baadae ili upunguze presha kwanza, kwanza nkuombe usifananishe ROCKSTAR 4000 na huo upuuzi wa madale hilo ni ombi sawa?,then unaposema kiba anatembelea nyota ya mwenzake ilhali alianza kuwika since huyo jamaa wenu anauza siso Tandale huko sijui wakati huo alikuwa anatembelea nyota ya babako!...kusema anatembelea nchi nyingi ambazo kiba hajatembelea nikwambie fuatilia mahojiano ya diamond alisema wazi kuna wakati alikuwa akitaka kusafiri anamcheki kiba ampe moja,mbili tatu ya taratibu za kusafiri nje ya nchi na mambo mengine kadha wa kadha coz by the way kipind diamond hajatoka au ndo anatoka kiba alikuwa anaitwa ALI ULAYA sasa tafuta siri ya hilo jina, mapokezi kitu cha kawaida bos fuatilia ziara za king kiba sehemu mbalimbali utaona anavyopokelewa sawa mzee?>,ukisema ali kiba anapiga show bar nahisi utakuwa umeamua tu kujitekenya mwenyewe na sidhan kama kuna haja ya kulijibia hilo boss wangu,kuhusu mali na utajiri wa kiba me na ww hatuna la kuzungumza coz jamaa hajawahi kuweka mali zake hadharani bt itoshe tu kujua jamaa ana mkwanja he is one of East african artist with a lot of money bro diamond nyumba yake inayojulikana ni ya madale tu hizo nyingine hadithi zisizoeleweka kaka coz mlishindwa ku prove hizo nyingine ila nkupe funzo tu MWENYE NACHO HAJIGAMBI SIKU MTAKUJA KUFUNGA MIDOMO HUENDA SIYO KWA KING HATA KWA MSANII MWINGINE KAMA AY NA WENGINE PALE MTAPOJUA KUNA WATU WANA MIKWANJA ZAIDI AFU HAWANA KELELE KAMA ZENU ahsante karibu tena.
Mpk mnatoa video mnaziandika un official release ili muonekane mmetoa nyimbo moja kwa mwaka.kitu kipo real/open, KIBA anatoa ngoma ngapi kwa mwaka? na zina kick mwaka mzima bt our neighbour there kwa mwaka hata sita asa bro which kind of music is that?...simply ni muziki mwepesi na anajua mwenyewe mkuu hilo halina haja ya kulipotezea muda mbona.
Anasifia kitu kilichaanzishwa na wengne alafu anaponda kitu kilichochukua mda mrefu, akili, pesa na kujitoa mpk mtu anafanikiwa.....record lebel yenye wasanii wanaojielewa wenye show zao za maana.Tatizo team kiba maneno meeengi facts hamna. Eti upuuzi wa madale mbona huyo kiba kashindwa kutengeneza upuuzi wa kariakoo? Wcb inaweza kuwa upuuzi kwako ila ndo recorrds insyotamba kwa wasanii wenye vipaji na tuzo za kimataifa, huyo kiba ameshindwa hata kumuinua mdogo wake ndo angeweza kutengeneza records ya kuwainua wengine? ameona ajifiche kwenye mwavumli wa rockstar mana anajua akisema aige na hilo la kuwa recor yake ataaibika. Nyumba za mond ni madale, south africa, kuna moja ipo kunduchi na kuna zingine ni appattment ziko 6 alinzinunua na dalali aliemuuzia tunafahamiana vzr ndo mana nikajua, kuna zingine mbili cjui ziko wapi zinajengwa mama ake ndo alikuwa anazipost. Sasa kiba amepanga tabata tena ni jirani yangu na nyumba ni kawaida sana, sasa huo mkwanja wake anafanyia nn au ni hela majini zinamasharti ya kutofanyia mambo ya maana? mana tajiri alafu hana pa kuishi pa maana sijui tumuwekefungu gani, na kuhusu show cjazungumzia habari za ulaya mana hata shilole anaenda sana tu, nimezungumzia nchi zingine za africa mana king wenu anaishia mombasa. Na nimeuliza hv mskampuni kila cku yanapigana vikumbo kumpa dili diamond, huyo king wenu vipi au tatizo nyota?
labda mseme mmemshindwa kiba rasmiiii mnatafuta mpinzani dhaifu muwe mnapeta tuu huyu huyu king awanyooshe hadi mnye mavi mekundu...NGOMA MOJA INAWAKIMBIZA MWAKA MZIMA.....MNAVYOMWARIBU KIBA NA KAWIMBO KAKE KAMOJA KAMA MKE.MSHINDANI WA DIAMOND SASA NI DOGO ASLEY NA SIO DIAMOND