environmental
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,054
- 137
Tumekuwa tukisema tunasaidiwa makaratasi yanayoitwa pesa miaka mingi na umasikini wetu umekithiri. Kuna haja ya kusaidiwa misaada thabiti ya maarifa, kama ni kuzalisha bidhaa muhimu ze nye soko duniani ingawa nchi za ulaya zina dorora zilikuwa mfano wa kuigwa katika maendeleo wanasema (economic evolution) ni wakati wetu wa kujikwamua .