Tetesi: Tofauti ya Mwalimu na askari wa jwtz

Tetesi: Tofauti ya Mwalimu na askari wa jwtz

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Leo nimejifunza Tofauti ya Mwalimu na askari wa jwtz

Asante May mosi
 
Leo nimejifunza Tofauti ya Mwalimu na askari wa jwtz

Asante May mosi
Mwalimu UNAWEZA UKAMKATISHA TAMAA KAMA MTOTO NA KUMUAHIDI PIPI HALAFU USIMPE KAMA MTOTO NA KUSIWE NA IMPACT ILA SI JW HOTUBA Za wanasiasa kwa watumishi wa umma sio zile za wanasiasa kwa wanajeshi
 
Leo nimejifunza wanasiasa wa kike wanaweza kuongea na Walimu elfu kumi lakini lakini hawawezi kuongea lugha ileile kwa wanajeshi
 
Kiufupi mwanasiasa wa kawaida anaweza kuwakaripia waalimu laki moja lakini Hawezi kukaripia wanajeshi mia kwa lugha ileile atakayoongea na walimu laki
 
Back
Top Bottom