Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 May 1, 2018 #1 Leo nimejifunza Tofauti ya Mwalimu na askari wa jwtz Asante May mosi
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 May 1, 2018 Thread starter #2 superbug said: Leo nimejifunza Tofauti ya Mwalimu na askari wa jwtz Asante May mosi Click to expand... Mwalimu UNAWEZA UKAMKATISHA TAMAA KAMA MTOTO NA KUMUAHIDI PIPI HALAFU USIMPE KAMA MTOTO NA KUSIWE NA IMPACT ILA SI JW HOTUBA Za wanasiasa kwa watumishi wa umma sio zile za wanasiasa kwa wanajeshi
superbug said: Leo nimejifunza Tofauti ya Mwalimu na askari wa jwtz Asante May mosi Click to expand... Mwalimu UNAWEZA UKAMKATISHA TAMAA KAMA MTOTO NA KUMUAHIDI PIPI HALAFU USIMPE KAMA MTOTO NA KUSIWE NA IMPACT ILA SI JW HOTUBA Za wanasiasa kwa watumishi wa umma sio zile za wanasiasa kwa wanajeshi
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 May 1, 2018 Thread starter #3 Leo nimejifunza wanasiasa wa kike wanaweza kuongea na Walimu elfu kumi lakini lakini hawawezi kuongea lugha ileile kwa wanajeshi
Leo nimejifunza wanasiasa wa kike wanaweza kuongea na Walimu elfu kumi lakini lakini hawawezi kuongea lugha ileile kwa wanajeshi
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 May 1, 2018 Thread starter #4 Kiufupi mwanasiasa wa kawaida anaweza kuwakaripia waalimu laki moja lakini Hawezi kukaripia wanajeshi mia kwa lugha ileile atakayoongea na walimu laki
Kiufupi mwanasiasa wa kawaida anaweza kuwakaripia waalimu laki moja lakini Hawezi kukaripia wanajeshi mia kwa lugha ileile atakayoongea na walimu laki
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,454 Reaction score 11,029 May 1, 2018 #5 Ok, tunawasubiri liverpool tarehe 26.