Tofauti ya mwanamke wa kuoa na mwanamke wa kuchezea yaani demu,manzi,sholi,kilukanjia au refleshment

Kuoa ni sawa na Kubet "kucheza kamari"
Nikubahatisha tu,

Unaweza kuoa mke "mwema" ila baada ya ndoa akaja akakubadilikia!

Pia unaweza ukaoa mke ambae "sio mwema" ila baada ya ndoa akatulia na kua mke "mwema"
 
MKUU The Boss umeandika ukweli mtupu.Pia mke mwema ni yule mnayeendana tabia.Tabia zikipishana ni shida.
 
basi waelimishe wengine usiwapoteze! hakuna mwanamume anaye penda kuoa malaya.
Kila mtu na raha zake wapo walioa na wanaishi nao na wamekutana huko kwenye mauzo lakini wameoa,sio wote ila wapo......
 
Mwanamke mpiga vibomu sio wakioa kabisa. Mkimbie kama ukoma
 
Mwanamke akiamia kuigiza maisha wala hutomjua tabia yake kabisa, kuwa makini na wengi wakishachoka wanajiweka kwenye mwavuli wa dini.
La mno ni kuomba Mungu akupe wa kufanana nae
 
wasioolewa umesahau kitu ni washirikina sana sana sana na kama ni dini basi ndo wale wa Mungu wa gwajima au Mungu wa lusekelo utasikia Mungu wa lusekelo anatenda......na wapo lzm wa mdharau mume kisa mkesha wa maombi au wapo radhi wamfuate mganga kigoma
 
Mwanamke akiamia kuigiza maisha wala hutomjua tabia yake kabisa, kuwa makini na wengi wakishachoka wanajiweka kwenye mwavuli wa dini.
La mno ni kuomba Mungu akupe wa kufanana nae
njia zao ni fupi mno?
 
Kwa mada kama hizi ndo mana mnaoa wanawake feki! Wengine ni vicheche ila akitaka kuolewa utaona atakavyobadilika ili anase wanaume wanaotafuta wake wema! Baada ya ndoa makucha ndoanayatoa sasa
 
Kwa mada kama hizi ndo mana mnaoa wanawake feki! Wengine ni vicheche ila akitaka kuolewa utaona atakavyobadilika ili anase wanaume wanaotafuta wake wema! Baada ya ndoa makucha ndoanayatoa sasa
kama wewe ni mwanaume harisi, utajua tuu, tabia zake
 
Ndio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…