Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Nimejaribu kutafuta tofauti ya Nyama ya Punda na Ng'ombe sijaweza kutofautisha.
Kilichofanya hadi nianze kutafuta tofauti ni namna ambavyo nimekuwa najisikia siku hizi baada ya kula hii nyama niliyonunua.
Mimi napenda nyama sana. Siku tatu hazipiti sijala nyama...athari siziogopi maana naipenda nyama.
Hawa wauzaji siwaamini kabisa...wanaweza kukuuzia punda, tofauti ya hizi nyama mbili ni nini? Kwa wanaozijua...