Unajisikiaje kwan? au una beba sana mizigo au shukrani zako siku hizi ni mateke ama uume wako ni umeongezeka kimo ππ , emu fafanua vizuri asee.Nimejaribu kutafuta tofauti ya Nyama ya Punda na Ng'ombe sijaweza kutofautisha.
Kilichofanya hadi nianze kutafuta tofauti ni namna ambavyo nimekuwa najiskia siku hizi baada ya kula hii nyama niliyonunua.
Mimi napenda nyama saana. Siku tatu hazipiti sijala nyama...athari siziogopi maana naipenda nyama
Hawa wauzaji siwaamini kabisa...wanaweza kukuuzia punda, tofauti ya hizi nyama mbili ni nini? Kwa wanaozijua...
Dah haya maswali yameniacha hoi. [emoji2][emoji2][emoji2]unajisikiaje kwan? au una beba sana mizigo au shukrani zako siku hizi ni mateke ama uume wako ni umeongezeka kimo [emoji23][emoji23] , emu fafanua vizuri asee.
inatakiwa ayajibu πDah haya maswali yameniacha hoi. [emoji2][emoji2][emoji2]
Mkuu usipanic - nyama kama umeshakula ndo umekula haina shida. Tofauti zake ni kama ifuatavyo:Nimejaribu kutafuta tofauti ya Nyama ya Punda na Ng'ombe sijaweza kutofautisha.
Kilichofanya hadi nianze kutafuta tofauti ni namna ambavyo nimekuwa najisikia siku hizi baada ya kula hii nyama niliyonunua.
Mimi napenda nyama sana. Siku tatu hazipiti sijala nyama...athari siziogopi maana naipenda nyama.
Hawa wauzaji siwaamini kabisa...wanaweza kukuuzia punda, tofauti ya hizi nyama mbili ni nini? Kwa wanaozijua...