Hiyo nyimbo ya akina Diamond na Hadija Kopa, director wake ni mwanangu, nilishajiuliza maswali mengi sana juu ya kazi ya mwanangu na vipi anakabiliana na changàmoto za kazi hiyo. Kimantiki hii nyimbo haitakiwi kuwa hewani kwenye jamii yetuHa ha haaaa. Mleta Uzi umenfurahisha sana Leo, ni kama umeyasemea mawazo yangu na ninaamini kabisa umeona nlichokiona usiku huu.
Mda si mrefu nlikua naangalia wimbo wa Nasema nawe wa Diamond EATV, nkajiuliza mwenyewe the same question.. Ngoja waje wachambuzi wa Basata watujuze
Nimeghairi nilichotaka kuandika na nimejikuta.
Next time.
Churaaa
Hahahahaaa weweeee unataka ndondi eeh....
Chura amerestishwa in peace looh
Nsamehe tu ila nakumbuka Siku ile kule stand ya ndege
Yes, hili ni jibu sahihi kabisa, wale Vyura wa Snura waliloa kabisa kiasi cha kuonyesha kabisa kila kilichomo kwenye maungo yao.Tofauti zao ni kwamba wale vyura wa Diamond hawakuwekwa kwenye maji.