Tofauti ya nyimbo " chura"(Snura) na "ninasema nae" (Diamond & Hadija Kopa)

Sio huo tu,zipo nyingi tu ziko hivyo!Kuna nyimbo za AT mambo ni hayo hayo!
Ukiachana na hizo kuna ngoma huwa sielewi kwann haizuiwi kupigwa kwa radio station zenu,hii ngoma inaitwa high school imeimbwa na Minaj akimshirikisha Lil wayne!Nimeisikia leo imepigwa na radio station moja hapa Tz mpaka nikajiuliza maswali bila majibu!
Ndani ya ngoma hiyo kuna maneno kama ''i nvr f**k with biginers,i let him play with my p..ssy''
pia ipo mistari kama ''p..ssy is so wet'',
daah yaani hatari ila zinagongwa tu!
 
Tofauti ni MAJI mkuu chura kalowa na jamaa wamona imewahamashisha zaidi kuliko ule mkavu.
 
Kama wameimba kizungu sio matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…