Tofauti ya points hizi ni ipi mpaka timu moja inakuwa juu ya nyenzake?

baba aura

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
254
Reaction score
393
Tofauti yake ni nini? Kwa nini Azam astahili kuwepo nafasi ya pili? Alielewa aelezee.

 
Ngoja waje wajuvi...
Ila tufanye Azam ni namba 2....
Tuacheni Simba namba 3 ila huo moto hapo chini hawatauvumilia itabidi washuke tuu..
 
Hapa baaaado ligi ndiyo inaanza mnaleta hizi,tunajaza server bure tu
 
Kanuni inatamka kuwa ikiwa timu zitafungana kwenye points, goal diffrence, wastani mzuri wa magoli ya kufunga na matokeo ya h2h basi timu yenye magoli mengi ya kufunga ugenini itakuwa mshindi. Ikumbukwe kuwa azam mechi zote kecheza nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…