samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 355
Wadau naomba kujuzwa , nini tofauti ya shockups za magari?, nikiendesha noah townws nikipita kwenye barabara ya vumbi yenye rasta, ( pambs) gari inatikisika hadii inahama njia, wakati nikichukua gari nyingine napita kanakwamba hakuna rasta, nini shida ya hii garii ? Ni aina ya shockups nikizo funga au zimechoka, msaada tafadhari.