samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 355
Nimebadikisha si muda mrefu, pia hazigongi mkuuShockup ztakuwa zmechoka,jaribu kuwahusisha na mafundi usikie maoni yao
Sasa ni shockups au ndio aina yake au?? ' haiwezekanii mimi nikawa napitwa kama naendesha guta aisee[URL[/URL]Noah ndo zilivyo mkuu ni nyepesi sana hata ya kwangu iko ivyo
Hapana ni twoNi 4wd?
Wadau naomba kujuzwa , nini tofauti ya shockups za magari?, nikiendesha noah townws nikipita kwenye barabara ya vumbi yenye rasta, ( pambs) gari inatikisika hadii inahama njia, wakati nikichukua gari nyingine napita kanakwamba hakuna rasta, nini shida ya hii garii ? Ni aina ya shockups nikizo funga au zimechoka, msaada tafadhari.
Upepo mwingi kwenye tairi kwenye rasta barabara lazima utakutoa nje tu, tena hasa tairi za mbele zikiwa na upepo mwingi ndio balaa, hii ni hata kwenye pikipiki si gari tuNakubaliana na wewe,kama ni ya kutembelea mwenyewe jaribu kuwe upepo mbele 35 na nyuma 40 alafu uone hautasikia hata kelele nilifanya ivyo nikaona mkuu
Zimeshachoka hizo na kama ni mpya ni zile duniWadau naomba kujuzwa , nini tofauti ya shockups za magari?, nikiendesha noah townws nikipita kwenye barabara ya vumbi yenye rasta, ( pambs) gari inatikisika hadii inahama njia, wakati nikichukua gari nyingine napita kanakwamba hakuna rasta, nini shida ya hii garii ? Ni aina ya shockups nikizo funga au zimechoka, msaada tafadhari.