Mkuu kama sijakupata vizuri una maana escudo ni nzuri zaidi ya grand vitara? Kumbuka kuwa kuna escudo, vitara na grand vitara na models za kuanzia 2005 kupanda karibia zote zinafanana sana kiumbo!Mi namiliki Escudo vitara tangu 2006 nimeipaki inafanya shughuri za nyumbani siitembelei ila iko imara sana na siwezi kumuuzia mtu.kuna rafiki yangu alinunua grand kama miaka mitano baadae, alikuwa akinipigia simu niende kumvuta. kwenye efficiency especially kama we una shughuri mbalimbali na za masafa ya kwendea nyumbani mfano kama unaishi Dar unatumia kwendea kijijini na mizigo unabebea kinoma, N.B jitahidi kufanya service.
Ntakuja baadaeMkuu kama sijakupata vizuri una maana escudo ni nzuri zaidi ya grand vitara? Kumbuka kuwa kuna escudo, vitara na grand vitara na models za kuanzia 2005 kupanda karibia zote zinafanana sana kiumbo!
Sasa hapo ipi ni ipi ndiyo tataizo.
Mimi kwa kweli hizi Suzuki escudo/vitara/grand vitara hasa za kuanzia 2005 kupanda zinanichanganya sana, mpaka mtu unashindwa kufanya maamuzi.Yani hapo ni kama Allex vs RunX, Cami vs Terios, Probox vs Succeed, Rush vs Terios(new model)
Moderators nashukuru kwa kuuleta huku huu uzi, wataalam wa hivi vyombo vya usafiri JF RugambwaYT mng'ato RRONDO Jimmie Gatsby MANI Mshana Jr na wengineo msaada wenu tafadhali.
Mkuu nashukuru mno kwa mchango wako umeweza kunitoa tongotongo, vipi kuhusu uimara wake, perfomance, maintanance, uwezo wa kuhimili rough road n.kmkuu habari.... niende kwenye mada moja kwa moja
suzuki escudo , suzuki vitara, suzuki grand vitara hiyo ni gari moja hayo majina yasikuchanganye
first generation ilitoka 1988 ikiitwa suzuki escudo kwa soko la japan Japanese domestic market (JDM) na baadhi ya masoko machache kama asia spec na south america spec
ila kwa soko la US na EUROPE hii gari ilienda kwa jina la suzuki vitara
ilipofika second generation na kuendelea (now wapo forth) jina la suzuki grand vitara likazaliwa
ila ikabaki vilevile kwa soko la japan ikaendelea kuitwa suzuki escudo ila kwa US spec na UK spec ikaitwa suzuki grand vitara
kwahyo mkuu usihofu ukiona inaitwa escudo basi jua hyo ilitengenezwa kwa ajili ya soko la japan (JDM) then ukiona inaitwa grand vitara basi jua hyo ilitengenezwa kwa ajili ya soko la US na UK
ni kama tu toyota corola X assista ukiinunua ya asia spec itaitwa toyota altis
na ndio maana unaona hata kuna vitu ndani pamoja na uimara zinaweza tofauti kwa sababu kila moja hapo ilitengenezwa maalumu kwa ajili ya soko fulani kutokana na vigezo husika pamoja na mazingira
ushauri ukitaka kuchukua ifate inayoitwa escudo sababu hii ni japanese domestic market (JDM) na mazingira yetu tanzania gari zinazoweza kuhimili shida zetu ni hizo JDM
Nina imani maelezo yangu yatakuwa yamekusaidia kidogo
Mkuu nashukuru mno kwa mchango wako umeweza kunitoa tongotongo, vipi kuhusu uimara wake, perfomance, maintanance, uwezo wa kuhimili rough road n.k
Natanguliza shukrani.
Heshima yako mkuu, nimependa maelezo yako, umefafanua SanaNina imani maelezo yangu yatakuwa yamekusaidia kidogo
nashukuru mkuu... pamoja sanaHeshima yako mkuu, nimependa maelezo yako, umefafanua Sana