MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Leo ni tarehe 6/4/2020 duniani koteHabari wana JF na poleni sana na ugonjwa huu wa corona, hakika tutavuka kwa kudra za Mola.
Kama mada inavyojieleza nimetafakari sana nimejiuliza maswali mengi kwanini tarehe, miaka na nyakati zinatofautiana kutoka jamii moja hadi nyingine. Wachina wana mwaka wao na mwaka mpya wao, waislam wanazo nyakati zao na mwaka wao, halikadhalika wahabeshi na jamii nyingine kongwe. Hii inatokana na nini? Je kwetu Chato na sisi tuna nyakati zetu? Hii inasababishwa na nini? Naomba kujuzwa
China wametoka kuzuia sherehe za mwaka mpya juzi tu kisa koronaLeo ni tarehe 6/4/2020 duniani kote
Pia kumbuka kuna nchi tumetofautiana masaa zaidi ya saba mfano USA kwahiyo kuna muda tunapishana tareheLeo ni tarehe 6/4/2020 duniani kote
huwa wanajishaua tu,nao wana season greatings kama kawaida mwisho wa mwaka wakati si wakristo na hawaahesabu mwaka wa kawaida.China wametoka kuzuia sherehe za mwaka mpya juzi tu kisa korona