Binafsi nakushauri nunua kutoka Alaf maana nilinunua aina ya versatile kutoka alaf mwaka 2011 hadi leo yapo vizuri kwa maana hayajapauka rangi but jirani zangu walionunua kama hayo kwa maana ya mgongo mpana katika kipindi hicho hicho yamepauka kweli kweli. Hata hivyo, sina uhakika walinunua wapi lakn sio Alaf.