Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,822
Katika pitapita zangu sehemu nilikuta watu wakizungumza habari za Wabantu na asili ya wabantu lakini pia nikasikia habari za Hamatics group, Nilotics group na Mang'ati group nimejaribu ku google lakini majibu ya google hayajajitoleza.
Hivyo wana JF napenda mnisaidie kufahamu tofauti ya makundi ya Kibantu, Hamatics, Nilotics na Mang'ati lakini pia tabia zao zinatofautiana vipi.
Lakini pia kwa hapa nchini ni makabila gani huwa yanapatikana katika bantu group, Hamatics, Nilotics na Mang'ati group.
Hebu tusaidiane