Sio kweli kabisa mkuuKwa kifupi tuu wabantu ndio wengi kuliko hao wengine.
Tofauti ni kwamba hamatics group limebeba wanyamwezi, wamasai,wangaza,watusi, wachaga na wameru.
Wakushii au cushites hapa unawakuta wasambaa, wabondei,wadigo na wasomali
Nilotics group hapa kuna mkurya mjaluo,mjita,msukuma,wahaya
Bushmen group hapa kuna wasandawe,waman'gati, warangi wambulu,wasenyee,wanyairamba,wanyaturu,