Tofauti ya Wakizungu na Wakibongo!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaani hapo inaonyesha wasivyo kuwa na heshima nakukosa ubunifu wa mahaba , wenzao wabunifu waki mahaba yaani full raha wakati wote unaweza,usitoke ndani , lakini hao wengine yaani domo linatoa maneno mabovu tu , huwezi hata tamani ubaki ndani naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…