mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Wanajamvi,
Leo nimeona niwaletee tofauti ya wanamziki hawa wawili katika nyanja ya mziki. Tuanze na Jide (Lady Jay Dee) huyu ni mwananziki wa kike aliyeanzia kuimba kwaya huko kwao ambapo alipata fursa ya kufika mjini na kujiunga na kituo cha redio ambacho kwa wakati huo kulikuwa ni moto kwa kupendwa na vijana. Mwananziki huyu huwa anatunga mziki kufuatana na matukio ya uhalisia wa mausiano yake hasa hasa katika matatizo anayokuwa nayo.
Wanapokorofishana na mpenzi wake, hutunga nyimbo zenye matusi na kejeli nyingi ili kumyoosha mpenzi wake, mara nyingi nyimbo zake zimelalia upande wake kwani huwa zinapinga sana kunyanyaswa kimapenzi na mwenzie, ukizingatia mwenzie alikuwa hajatulia kipindi kile.
Mwananziki huyu aliwahi kupewa promo nyingi za upendeleo hata kama miziki yake ilikuwa haijashika patamu lakini kwa kuwa Clouds walishateka jiji walikuwa wanalazimisha hivyo hivyo. Kwenye Kola mbali mali za Africa, watu walikuwa wakimpendekeza Saida Karoli lakini Clouds hakuwa chaguo lao.
Tuje kwa Saida Karoli, ni mwanamziki mwenye uwezo wa kupiga vyombo vyote vya mziki na umahili wa kucheza ngoma za asili, hata mziki wa kawaida wa kitanzania, anaweza kuimba lugha mbili, kiswahili na za kilugha, mwanamziki huyu alianzia kupiga mziki kijijini hasa kumbi za starehe.
Alikuwa akiletwa Dar es Salaam, kuwapa mziki wa asili kwa waliomwalika Dar ndipo nyota yake ikaonwa na muandaa mziki FM, huyu alimweka level kwa kushirikiana na Mzungu Mwika mwama wakaweza kutengeneza mziki na kuiingiza sokoni, kiukweli alibamba nchi mbali mbali, Kenya na Uganda, ni mwananziki pekee wa kike aliyewahi kuujaza uwanja wa Taifa na Karimjee.
Nyimbo zake ni zile zenye mafundisho mabali mbali zisizoegemea upande wowote wenye mahusiano yoyote bali kufundisha na kuburudisha. Nyimbo zake hazina aina yoyote ya dharau kebehi matusi.
Mwananziki huyu alipotea angani kwa kutoelewana na aliyekuwa kiongozi wake hivyo ikampelekea kufirisika kimazingira lakini kiuetendaji aliendelea kutunga nyimbo zake ingawa hakupewa promo yoyote na kituo chochote cha Redio.
Clouds Media walikuwa wakimwacha kwa makusudi ili asivuruge utaratibu wa wa kupendelea mtu kwenda kola hata kama ana uwezo hafifu. Mwananzki huyu ni mwanamziki pekee ambaye wananziki wengi hutumia vionjo vyake na kuwakonga wateja wao. Mfano mzuri ni Darasa, Diamond ambao wamefanikiwa kwa hili. Vile vile ni mtu anayependa kudumisha mila za kwao kuanzia kimavazi na uchezaji ana miziki ya kasi, pole pole na ya kuuzunisha. Ni mtu anayejituma uwanjani kuliko mwanamziki yeyote wa kike. Ni mtu anayejitegemea sana kutunga miziki yake mwenyewe bila kukopi.
Tofauti yao mmoja ni maskini anafanya kazi kwa mazingira magumu, mwingine hutumia pesa nyingi kujitangaza hata kama mziki wake haukuhiti.