Kweli kabisa imekamilika... ila tu kwakuongezea IMO no matter Mwanaume ni kamilifu kiasi gani there is always a boy inside popin' up once in a while...
Unachanganya hapa mama nanihii....
We dont have boys in us....
We are children at heart.....you love kids, right?
Mengine mnaweza kuongezea.......wanasema kuna 'mvulana' kwa kila mwanaume
but wengine huwa wanabaki kuwa 'wavulana' milele.........lol......
Asante naongeza .mvulana akienda na mwanamke atakuja kusimulia kila kitu hata rangi ya nguo ya ndani.Wakati mwanaume atayameza yote yaliyotokea mlipokuwa wawili.
Hii kitu sijui ilinipita vipi.... Great observation Boss.
kumbe wengine wanaumri mkubwa ila badooooo wavulana
best ... nawe tuletee ya wasichana na wanawake bana!
Wanadeka, mwanaume anatakiwa ndo alete solutions.wanafanya nini kwani?
Wanadeka, mwanaume anatakiwa ndo alete solutions.
Sio makosa yao,
Baba zao wako bize ikasababisha watoto wawe karibu na mama zaidi, na kujifunza tabia za kike zaidi.
Unapokutana na mwanaume anataka umnunulie lunch, bila sababu, wala aibu,
anapotaka umsaidie begi bila sababu,
anapolia njaa kwa dizaini moja na wasichana
anapolalamika mbele ya wasichana wengine mambo ya mapenzi yake na wapenzi wake,
anapoweza kujadili jambo masaa bila kuwa na wazo la solutions
inasikitisha, watoto wetu wataolewa na nani?
maybe women are becoming too strong? and men are not equiped to stand and rule the world anymore?

Nimeona sehemu wameanza kuwafanyia wavulana special life training, wamegundua wako nyuma kiasi, na wasichana same age wako more self asured, confident, self reliant, decisive, less fearfull of life and the future, more agressive.
Utaona nyumba / ndoa zinavunjika kwa sababu wanawake hatuwezi kuwa reliant kwa hawa wavulana, na wao wanaoona challenge zimezidi, hawana ujuzi wa kudeal nayo, solution kila mtu aende kwao,
Sio makosa yao kimsingi, wamefundishwa na dunia kwamba hiyo ndio priority.Yep u gat it all.. Kaka wanaume ha2jielewi hasa wale walamba lips honestly wananichefua kichiii...
Huu uzi ulijificha wapi, au mi ndo nilijificha!
Mzazi umechana kila kitu,
hiyo tabia ya kushobokea binti mrembo mwenye mvuto siipendagi toka nipo mdogo wala nlkuwa sipendi kugeuka , sasa sijui nlkuwa mwanaume toka enzi hzo? lol....!