wana-jf,
nilikuwa nafuatilia kwa karibu ziara aliyoifanya rais kufour wa ghana kule usa na ziara ya jk huko huko usa. Naomba tuangalie hizi picha chache kwenye kiunganishi hiki food for thought
ili tulinganishe mapokezi ya rais wetu na huyo wa ghana, ukizingatia wote walipewa mwaliko maalum na bush.
kikwete hakuandaliwa?
Mafuchila,
Kufuor alikuja State visit. Na miaka yote 8 ambayo Bush amekuwa mamlakani amefanya state visit 6 tu moja ikiwa ya Mwai Kibaki. Ziara ya rais Kikwete ilikuwa ama ni official au working visit. Hakukuwa na state dinner au mapokezi rasmi kule South lawn ya White House. Gazeti la jana la Washington Post lilikuwa na taarifa kamili juu ya state visit ya President of Ghana.