MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Kwa kweli waachane kabla huyo mwanamke hajapata fistula. Aje tu hapa JF atafuta nungayembe moja manake yapo mengi tu MMU yana mabwawa ya kutosha kuaccomodate hilo dude lote bila shida
hivi ni lini utajitambua ndugu yangu? Nimetoka hapo jamvi la biashara na uchumi nimekuta mapovu yako kwenye thread ya Mwana JF mwenzio, hivi kama huna la kushauri si ukae kimya bwana? Ah, wengine are so disgusting!
Habari zenu wana JF, jana nilikuwa na rafiki yangu akawa anasema analalamika kuwa anapofanya mapenzi na mwenza wake (mkewe) huwa anapata maumivu sn kwakuwa uume wake ni mkubwa na mkewe njia ni ndogo hivyo jamaa huwa wanapofanya mapenzi na mwenza wake shemeji huishia kuumwa tumbo na huwa wanaweza kaa hata muda wa mwezi ili kumuacha arudi kwenye hali yake ya kawaida sasa rafiki yangu anakuwa hana raha na hali hii, je nini cha kufanya hapa ili kuondoa tatizo km hili.
kwenu wana JF mchango wenu wa mawazo unahitajika.
hata nafasi za kazi na tenda napo katukana huyo.
hivi ni lini utajitambua ndugu yangu? Nimetoka hapo jamvi la biashara na uchumi nimekuta mapovu yako kwenye thread ya Mwana JF mwenzio, hivi kama huna la kushauri si ukae kimya bwana? Ah, wengine are so disgusting!
Hahahaha JF haichoshi kwakweli full burudaniKwa kweli waachane kabla huyo mwanamke hajapata fistula. Aje tu hapa JF atafuta nungayembe moja manake yapo mengi tu MMU yana mabwawa ya kutosha kuaccomodate hilo dude lote bila shida
hata nafasi za kazi na tenda napo katukana huyo.
Mwambie rafikiyo amuulize mkewe kama alikuwa anapata maumivu na wapenzi wake kabla ya rafikiyo (exs)....kama ndiyo, kuna uwezekano pia akawa na tatizo linaitwa 'Retroverted Uterus'....kwa kawaida kizazi (uterus) huwa kinainamia mbele (anteverted), kama kikiinamia nyuma (retroverted) basi mwanamke anapata maumivu sana wakati wa tendo la ndoa, hata akiwa ameandaliwa vipi!
Anaweza akaconfirm kwa kufanya 'ultrasound'.