Tulizo kuwa kwetu kwenye kundi la wanyama kusitufanye tuact kama wanyama.Tumepewa akili tuweze kuchambua mambo na kufanya maamuzi binafsi hivyo ni maamuzi tu wala sio asili yetu.
Lizzy mpenzi kama kuna mtu alikuwa anajua kuamini watu ni mimi na nikisema namaanisha lakin muda unavoenda nimejifunza watu wengi wanayosema ni tofauti sana na matendo mwisho wa siku maisha yanakufunza kufanana nao nimekuwa mgumu sana siku hizi kuamini anayosema mtu especial kwenye mapenzi.
Mpenzi usanii ulikuwepo tangu zamani ila sasa hivi umekithiri kwakweli.
Achilia mbali kuamini watu wengine...inabidi hata sie wenyewe tuwe tunajiuliza mara mbili mbili kama tunamaanisha tusemayo...
Aisee nimekumbuka,watu tupo tofauti,lakini ni vizuri tukaangalia kwanza mambo ya kimaumbile,tunaweza kuchanganya hayo mambo na ujinga wetu wanadamu,tuwe makini kunatofauti ya kimaumbile kati ya mwanaume na mwanamke,kama kuna tofauti hiyo ushauri na mitazamo yetu izingatie tofauti hiyo!
No Lizzy,maumbile hayamfanyi mtu kufanya mambo ya kijinga,yapo mambo ambayo lazima ujinga wetu unatuongoza kuyafanya na ni lazima tuwe responsible,huwezi kucheat ukakamatwa ukaulizwa unasema "shetani alinipitia",huo ni ujinga usiovumilika na pia hiyo sio sababu!
mimi bana ukinibamba na una ushahidi wa kutosha inakula kwako itabidi uamue unachotaka,hivyo ukiamua kuja kunifumania uwe pia umekwisha kata na shauri kuhusu hatima ya mahusiano yetu.Nikibambwa mimi huwa nakula kobisi tu.
Wewe una makosa mengi kwanza.Wanawake wapo tayari kusamehe na kuvumilia matendo machafu ya mumewe ila mwanaume kosa moja tu utatimuliwa.
Ama kweli kunya anye kuku.......
Wanawake wapo tayari kusamehe na kuvumilia matendo machafu ya mumewe ila mwanaume kosa moja tu utatimuliwa.
Ama kweli kunya anye kuku.......
Sehemu kubwa hua hawasamehe kwasababu wanapenda ila either kwasababu bado wanamhitaji huyo mwanaume au wanajaribu kuwakomoa wezi wao.Wanawake wapo tayari kusamehe na kuvumilia matendo machafu ya mumewe ila mwanaume kosa moja tu utatimuliwa.
Ama kweli kunya anye kuku.......
Wewe una makosa mengi kwanza.
NB: Ukiishaisoma Idiliti
Ndo maana'ake
sababu nyingine ya kusamehe inaweza kuwa utegemezi. Mwanamke mama wa nyumbani na vitoto kibao, hata mmewe akiwa anafanya madudu anakuwa mwepesi kusamehe maana huyo ndio tegemezi lake kiuchumi..Sehemu kubwa hua hawasamehe kwasababu wanapenda ila either kwasababu bado wanamhitaji huyo mwanaume au wanajaribu kuwakomoa wezi wao.
Na wanaume nao wapo wanaosamehe tena kupitiliza....
najua unajua kuwa najua.
nami najua yote hayo
Kwamba wewe mweupe sana karatasi za A4we nisingizie tu.