Tofautisha kati ya mke na mwanamke

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kila mke ni mwanamke lakini si kila mwanamke aweza kuwa mke
 
Mke-mke wa mtu
Mke wake
Mke wako
Mke wenu.
#infact kaolewa

Mwanamke-dadako
Mamako(apology for this)
Wifi yako
WanawAke kibao.
Anaweza kuolewa ama single lady.
😜😜
 
Asante sana..!
 
Mke ni mwanamke aliyefunga ndoa na mwanaume...
Mwanamke ni mtu mwenye jinsia ya kike aliyevuka miaka 18.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…