Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio tundu lisu na majina mengine lakini Tobo naona bado halijaanza kutumika kama jinatundu...mfano toto tundu. Tobo sijui maana yake.....ahahahaah!!
Wakati wa kutoboa, tobo , tobo, tooo...
Wakati wa kutunduwa tundu, tundu, tuu...
Umeelewa au bado nikufafanulie?
Hili swali mbona linarudi sana?
Ahahahaah!! Mimi sijaelewa nifafanulie.