YouTube - ‪Ruben Studdard - Together Video‬‏
Nilisafiri kwa muda wa siku 4 nje ya jiji nikamtumia rafiki yangu wa kike wimbo huu.
wakuu niliondoka wakati tukiwa tumeshindwa kuelewana kwenye baadhi ya logistics fulani hivi sasa nikiwa njiani nikamkumbuka sana kwani nilimwacha na huzuni kubwa sana pia nilihisi hakupenda kuniudhi alikuwa mpole sana.
So nimeamua ku-dedicate huu wimbo kama zawadi yangu kwake.
NAWASILISHA
Kashukuru sana kani text ivi
"Since the day that we met boy,
I aint never had anyone make me feel this way,
and my heart is sure it wants to be with you,
wannna give you the whole world,
if you make that promise to me your gonna stay,
without you here with me Im lost and so confused,
what will it take to show u ill be by your side"
Mpendwa acha roho mbaya, kubali mwanaume mwenzako kajitahidiKesho tena utakuja na stori nyingine...Ningeshauri mtumiane mistari ya Biblia au Kuruan
Mpendwa acha roho mbaya, kubali mwanaume mwenzako kajitahidi
Hayo tunamwachiaMungu, meanwhile let us enjoy the rideni kweli, mapenzi yote yanaanza hivyo kwa utamu huo. lakini mimi na wewe ni mashahidi wa jinsi mambo yanavyokuwa penzi likianza kuporomoka
Hayo tunamwachiaMungu, meanwhile let us enjoy the ride
poa kaka nilitaka tu kuku challenge, kimeeleweka kila kitundo maana nikasema watumiane mistari ya Biblia na Quran..
kwa sababu watarudi huko huko kwa Mungu, kuomba awarehemu, ila wakati yakiwa hot hawakumkumbuka..
Pia tusimtupie Mungu kila kitu
poa kaka nilitaka tu kuku challenge, kimeeleweka kila kitu
Kesho tena utakuja na stori nyingine...Ningeshauri mtumiane mistari ya Biblia au Kuruan
Inaonekana mnajiexpress kwa nyimbo tu angalia isiwe kitamthilia sana, by the way, umri wenu please!
Shantel haujatumiwa mistari wewe??:glasses-nerdy:Mpendwa acha roho mbaya, kubali mwanaume mwenzako kajitahidi
YouTube - ‪Horace Brown - Things We Do For Love‬‏Niambie ni umri gani unaopenda au unaoruhusiwa kusikiliza muziki.
what we know is this...through music people express their inner feelings
music massages our invisible souls and unleash the everlasting loving life journey.
So age is nothing SHANTEL but a........