The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
YouTube - ‪TEVIN CAMPBELL-ALWAYS IN MY HEART‬‏So Your ready to love me, maana mwimbo ndivo unavosema, teheteheteeeee....... hivi huyu dogo kaishia wapi siku hizi au ndio kakatazwa kuimba na mumewe?
Naona alishindwa kujanza pumzi kifuani kila akivuta pumzi zinatokea kuleeeeeeeeeee, yani aliimba vizuri sanaYouTube - ‪TEVIN CAMPBELL-ALWAYS IN MY HEART‬‏
Huyu kijana alikuwa na kipaji baada ya kuingia kwenye yale mambo ndio kwishnei ila of all 90's artist huyu namkubali vibaya sana
Ahaaa ahaaa Baba Ubaya those were the days nyimbo za ukweli kutoka kwa akina AALIYAH, TEVIN CAMPBELL, HORACE BROWN, JODECI, NEW EDITION, DONNEL JONES, SWV, NEXT
Hahahaha ShantelNaona alishindwa kujanza pumzi kifuani kila akivuta pumzi zinatokea kuleeeeeeeeeee, yani aliimba vizuri sana
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up: Dah!! Mkuu usimalize utamu babThe Finest umegusa mule mule!!!! vipi ulichanga na Men of vision, Craig David, Donell Jones, Ginwine, After 7 na Keith sweat usiwasahau Dru hill na kitu cha unleash the dragon!!
Really!!!!!!!!!You are very true TF COZ i dont see her to be whole and exclusive to me as before!
I thot mko pamoja, ok so uko kwenye process ya kwa pamoja sasa nimeelewaAm 111% sure; i just wanted views form my badies in here, that what do they say about the invitation i have received.....could it be the signs of coming together or?
Umenikumbusha mbali sanaThe Finest umegusa mule mule!!!! vipi ulichanga na Men of vision, Craig David, Donell Jones, Ginwine, After 7 na Keith sweat usiwasahau Dru hill na kitu cha unleash the dragon!!
Im happy for you guys as you saw my thread sina mupenzi kwa sasaYah! Dina, when you hear someone telling you "i love you more than that" he meant this kind of love.
HongeraNimekuelewa sana G, nadhani unafahamu nina furaha kiasi gani.
MhhhhhhhhhhhhhHongera na wewe kwani tulikotoka ni mbali.
Usikate tamaa kabla hujafa maisha yapo kwa ajili ya kila mtu dinnahkumbe kuna watu wanaweza pendwa kwa kiasi hiki? i wish.......