Mkuu BIG UP kwa uandishi makini, nimependa ulivyojenga hoja hapo, wasi wasi wangu nilidhan ungeomba ushauri, bt umeonyesha kitu flan hv. Nadhan sasa mrudie shemeji mkaweke mambo sawa coz utamfanya awe mpweke. Hisia za huo wimbo zikufanye uwe mpole msolve hzo conflicts!