MwanaumeWaKweli Member Joined Sep 10, 2015 Posts 5 Reaction score 1 Oct 7, 2015 #1 Tohara kwa wanaume ina faida nyingi ikiwa ni pamoja na kuweka uume safi, kupunguza uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa ya ngono ikiwemo VVU na kansa uume na kizazi.
Tohara kwa wanaume ina faida nyingi ikiwa ni pamoja na kuweka uume safi, kupunguza uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa ya ngono ikiwemo VVU na kansa uume na kizazi.
Petro Oswald JF-Expert Member Joined Aug 17, 2015 Posts 2,382 Reaction score 1,881 Oct 7, 2015 #2 kwahyo mnamkosoa mungu kuumba uume with foreskin eeenh?